Huu ni ushindi wake wa kwanza, baada ya kufanya vema katika hatua zote 18 za mashindano hayo kwa kuwa na muda bora wa saa tatu, dakika 16 na sekunde tano. “Huu ni ushindi muhimu sana kwangu. Asanteni ...
JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani, limepiga marufuku na kutangaza msako wa matumizi ya namba bandia zenye mwinuko '3D' kwenye magari na pikipiki ambazo husababisha kamera zenye ...
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Tabora, imeyakamata magari 20 yanayofanya safari kutoka Tabora mjini kwenda wilayani Sikonge kwa kutoza abiria nauli kubwa kupita kiwango ...
Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari, Kenya Safari Rally, yanaendelea kushika kasi mjini Naivasha ambapo madereva mbalimbali duniani, wanachuana kutafuta ubingwa. Nani ataibuka bingwa ?
Fundi wa magari mwanamke kutoka nchini Ethiopia anayehudumu na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, UNMISS, Meja Tigist Ferede ametunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa ...
DAR ES SALAAM :KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea kituo mama cha kushindilia gesi asilia cha Mlimani-CNG jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza namna kituo hicho ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results