Huu ni ushindi wake wa kwanza, baada ya kufanya vema katika hatua zote 18 za mashindano hayo kwa kuwa na muda bora wa saa tatu, dakika 16 na sekunde tano. “Huu ni ushindi muhimu sana kwangu. Asanteni ...
Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amelazimika kuchukua jukumu la askari wa usalama barabarani na kusaidia kuongoza magari kufuatia msongamano mkubwa wa magari jioni ya ...
Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari, Kenya Safari Rally, yanaendelea kushika kasi mjini Naivasha ambapo madereva mbalimbali duniani, wanachuana kutafuta ubingwa. Nani ataibuka bingwa ?
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Seleman Jafo, amesema Tanzania kwa sasa ina jumla ya viwanda 13 vya kuunganisha magari, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha sekta ya viwanda nchini kupitia ...