MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA kutoka Uganda, wameambiwa wajiandae kupokea kipigo kutoka kwa watetezi wa ...
NI suala la muda tu kwa beki wa kati Abdulmalik Zakaria kuvaa uzi wa njano na nyeusi baada ya jina lake kutajwa kujiunga na ...
HAKUNA namna. Taifa Stars ina dakika 90 ngumu usiku wa leo mbele ya Tunisia. Ni ushindi pekee ndio unaweza kuifanya timu hiyo ...
Katika dunia ya leo ni bahati kwamba tulimpata Samatta na akawaonyesha watoto wetu nini maana ya mafanikio. Zamani mafanikio ...
YANGA inaendelea kujifua kwa mazoezi makali kambini, huku ikijiandaa kufunga safari kwenda visiwani Zanzibar kushiriki ...
Kiungo mshambuliaji huyo wa Azam FC kwa sasa yupo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 akiwa na kikosi ...
TIMU za KVZ na TRA United zilizopo Kundi C la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ambalo pia linaijumuisha Yanga, zimetoshana ...
BINGWA wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, Anthony Joshua, amelazwa hospitalini baada ya kupata ajali ya barabarani ...
TAWANDA Maswanhise amefunga bao matata kabisa wakati Zimbabwe ikichapwa 3-2 na Afrika Kusini na hivyo kutupwa nje ya ...
KOCHA Msaidizi wa Fufuni, Sueliman Abbas na Sheha Khamis Rashid wa Muembe Makumbi City, kila mmoja kwa waakati wake ameitaja ...
MAELFU ya waombolezaji leo Desemba 29, 2025 wamejitokeza kushiriki mazishi ya mwanamuziki Faliala Mbutu ambaye ni mume wa ...
MANCHESTER United imeripotiwa kuwa katika mazungumzo mazito na mshambuliaji anayeshiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ...