Diana Chando (27) ni mwanasheria na mbobezi wa sera anayependa kugusa maisha ya vijana wenzake. Anasema lengo lake kubwa ni kufanya kazi na kuacha alama kubwa katika maisha yake kwa kubadilisha maisha ...
Dakika chache baada ya saa nane mchana wa Alhamisi Juni 25, 2024 hali tete iliyokuwa inatokota nje ya majengo ya Bunge la Kenya, iliharibika kabisa na kuwa mbaya. Umati mkubwa wa vijana ambao ulikuwa ...
Ripoti mpya iliyotolewa leo imegundua kuwa watoto na vijana 9,000 wanakadiriwa kuwa waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono katika Kanisa la Kiprotestanti nchini Ujerumani tangu mwaka wa 1946. Wachunguzi ...