WALE ‘Wazee wa Mikeka’, ni wazi wikiendi hii watakuwa na kazi katika kusuka mkeka wa mechi ya Dar es Salaam Derby inayozikutanisha Azam FC na vinara wa Ligi Kuu, Yanga. Hii ni mechi ngumu uwanjani kwa ...
ULE uhondo na utamu wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) unatarajiwa kuendelea Machi 28, 2026 baada ya ligi hiyo kusimama kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaokaribia ukingoni.