Watu wengi hula kuku. Hata hivyo, je, kuna vitu vyenye madhara na kemikali kwenye kuku wanakula? unaelewa jinsi ya kujua hilo? Kulingana na data iliyotolewa na Idara Kuu ya Uvuvi na Ufugaji Wanyama ...
Utafiti mpya umebaini kuwa, wafugaji hasa wa kuku wa kisasa na nguruwe nchini Tanzania, wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) kuongeza utagaji wa mayai kwa kuku na kuongeza ...
Ripoti mpya ya Shirika la kulinda maslahi ya wanyama la Uingereza la World Animal Protection, inatahadharisha kuwa mifumo ya ufugaji wanyama ya kisasa inaweza kuchagia kusababisha baa jipya la afya ...
Je unaweza kula nyama ya mifugo waliolishwa Funza? Kufuga Nguruwe, Kuku, Samaki kwa kuwalisha funza, kunatarajiwa kubadili tunavyo fuga mifugo. Haya hufanyika katika sehemu moja ya kufanyia majaribio ...
Ufugaji wa nyuki wa kisasa unoazingatia matumizi ya vifaa bora ambao huzalisha asali bora lakini pia husaidia katika utunzaji wa Mazingira lakini pia licha ya kusaidia kutunza mazingira, nyuki ni ...
Ufugaji wa samaki wa kisasakwenye visima au mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani na Ufugaj huu wa samaki ni sawa kama ilivyo shughuli nyingine yoyote ya kiuchumi inahitaji usimamizi mzuri ...