Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka maarufu kama mabasi ya Mwendokasi umekuwa tegemeo kuu kwa wasafiri Dar es Salaam lakini kwa siku mbili, huduma hiyo imekumbwa na vurugu. Tatizo hilo lilizidi leo ...
Wamiliki wa malori nchini Tanzania wamelalamika kuhusu sheria ya udhibiti wa uzito wa magari ya Jumuia ya Afrika Mashariki wakisema kuwa sheria hii inawagharimu kwenye soko Sheria ya udhibiti wa uzito ...