Ripoti mpya ya hali ya elimu Barani Afrika iliyotolewa na Benki ya dunia imeziorodhesha nchi za Uganda na Tanzania katika kundi la pili la mataifa yenye kiwango cha juu cha watoto wanaoachia katikati ...
Mnamo Machi 31, 2020, Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia iliidhinisha mkopo wenye utata wa kiasi cha Dola za Marekani 500 Milioni kwa serikali ya Tanzania kwa ajili ya program ya elimu ya sekondari ...
Serikali ya Tanzania chini ya rais John Magufuli ilipitisha waraka wa elimu namba 6 wa mwaka 2015 kuhusu utekelezaji wa elimu bure kwa shule sekondari. Waraka huo ulioanza kutekelezwa Januari 2016 ...
Sera hiyo iliyofanyiwa maboresho imeanzisha somo la Ujasiriamali kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwapatia ujuzi utakaowawezesha kujiajiri au kufanya shughuli kwa kutumia elimu ...
Serikali ya Tanzania imetangaza maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ili kutoa elimu ya ujuzi badala ya elimu ya taaluma pekee ambapo elimu ya lazima itakuwa ya miaka 10 badala ya saba kama ilivyo ...
(Washington, DC) – Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa elimu wa kiasi cha $500 milioni dola za kimarekani kwa Tanzania bila kuitaka serikali kuachana na sera yake ya kuwafukuza shule wasichana ...
Mwanzo wa mwaka huambatana na shughuli nyingi na msisimko mkubwa kwa watoto wanaoanza skuli, lakini je, hayo yanalingana na majengo, kiwango cha elimu na matarajio ya wazazi kwa elimu ya watoto wao ...
Clavier ameyasema hayo mara baada ya kuhitisha mkutano wa siku tatu wa wanawake na maendeleo endelevu barani Afrika uliojikita kuangalia umuhimu wa sayansi katika maendeleo ya wanawake barani humo.
Taasisi za elimu ya juu zimetakiwa kuimarisha uwekezaji kwa kutenga bajeti katika michezo ili kukuza na kuibua vipaji vya wanafunzi nchini.
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni amesema waandishi wa habari wanawajibu ...