Iran ilihusika katika mashambulizi ya Houthi katika Bahari Nyekundu, Marekani inasema. "Hatuna sababu ya kuamini kwamba Iran inajaribu kuwazuia Houthi kuendelea na vitendo vyao vya kutowajibika," ...
Ethiopia haina nia ya kuivamia nchi nyingine na "kamwe haitatetea maslahi yake kupitia vita", amesema Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed siku ya Alhamisi, siku chache baada ya hotuba ambayo ilizua ...
Kuna fununu zinazomsambaa Ethiopia kuhusu vita vipya - ambavyo vitakuwa vya nne kwa Waziri Mkuu Abiy Ahmed katika kipindi cha miaka mitano. Pamoja na kuagiza silaha na kuhamasisha jeshi lake, Bw Abiy ...
Vita kati ya Israel na Iran vimeibua wasiwasi kwamba Iran inaweza kulipiza kisasi kwa kujaribu kuufunga Mkondo wa Bahari wa Hormuz, eneo muhimu zaidi la kusambaza mafuta duniani kutokana na wingi wa ...
Wakati Marekani ilipotangaza wiki iliyopita kuanzisha muungano wa vikosi vya wanamaji ili kulinda meli za kibiashara zinazosafiri katika Bahari Nyekundu, walieleza kwamba karibu nchi 10 zingelishiriki ...