Kama mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ungetekelezeka vile ilivyopangwa, mwaka 2023 pengine ungekuwa unafanyika uzinduzi wake na kushuhudia shehena za meli za mizigo zikiingia na kutoka.
Je, chochote kizuri kinaweza kutoka kwenye jangwa ? Ni swali ambalo Misri inaendelea kujibu kwa kujenga miji mikubwa mahali kulikokuwa jangwa. Mojawapo wa miji hiyo ni Cairo mpya ,jiji kuu la Kisasa ...
Sheria hiyo mpya ni kuhusu ujenzi wa nyumba, ili kusaidia jamii za vijijini ziweze kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Zimbabwe inapanga kupitisha sheria mpya kuhusu ujenzi wa nyumba. Sheria ...